Gregory Itzin
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Gregory Itzin | |
|---|---|
| Amezaliwa | Washington, D.C. |
Gregory Itzin (amezaliwa tar. 20 Aprili 1948) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy, akiwa kama mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kucheza katika mfululizo wa Kimarekani wa 24 kama Rais Charles Logan.
[hariri] Viungo vya Nje
- Gregory Itzin kwenye Internet Movie Database
- Gregory Itzin at Memory Alpha (a Star Trek Wiki)
- Gregory Itzin in Shipwrecked! at South Coast Repertory
- Law and Order: Really Special Victims Unit starring Gregory Itzin
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gregory Itzin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |