Goris
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Goris (Kiarmenia: Գորիս; mpaka 1924, Geryusy, Geryusi au Gerusi; zamani, Goraik, Gores, Hin Kores, Kores, Korus, Koru, Kuris, Zangizour, Zankazour, na Kyuryus) ni mji uliopo kwenye mkoa wa Syunik huko nchini Armenia. Takriban kilomita 240 kutoka mji mkuu wa nchi Yerevan na km 70 kutoka Syunik Marz katikati mwa Kapan. Mji una wakazi wapatao 21,935 (Sensa ya 2008).
Marejeo [hariri]
- Goris kwenye GEOnet Names Server
- Taarifa ya matokeo ya sensa ya wakazi kwa 2001 nchini Armenia
- World Gazeteer: Armenia – World-Gazetteer.com
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Goris kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |