Go-Momozono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Go-Momozono (5 Agosti, 175816 Desemba, 1779) alikuwa mfalme mkuu wa 118 (Tenno) wa Japani. Alikuwa mtoto wa Mfalme Mkuu Momozono. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hidehito. Tarehe 23 Mei, 1771 alimfuata shangazi yake, Go-Sakuramachi, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni Kokaku.

Imperial Seal of Japan.svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Momozono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine