Gloria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanzo wa wimbo kwa nota za Kigregori.
Mwanzo wa wimbo kwa nota za Kigregori.

Gloria (kwa Kilatini Utukufu; kirefu ni Gloria in excelsis Deo, yaani Utukufu kwa Mungu juu kabisa) ni mwanzo wa wimbo maarufu wa Misa ambao unatokana na kunyambua ule wa malaika ambao, kadiri ya Injili ya Luka (2:14), waliwapasha wachungaji habari njema ya kuzaliwa Yesu katika zizi la Bethlehemu.

Inasemekana kwamba wimbo huo ulitafsiriwa na Hilari wa Poitiers kutoka Kigiriki.

Kwa sasa maneno yake ni haya:

Glória in excélsis Deo
et in terra pax homínibus bonae voluntátis.
Laudámus te,
benedícimus te,
adorámus te,
glorificámus te,
grátias ágimus tibi propter magnam glóriam tuam,
Dómine Deus, Rex cæléstis,
Deus Pater omnípotens.
Dómine Fili Unigénite, Iesu Christe,
Dómine Deus, Agnus Dei, Fílius Patris,
qui tollis peccáta mundi, miserére nobis;
qui tollis peccáta mundi, súscipe deprecatiónem nostram.
Qui sedes ad déxteram Patris, miserére nobis.
Quóniam tu solus Sanctus, tu solus Dóminus, tu solus Altíssimus,
Jesu Christe, cum Sancto Spíritu: in glória Dei Patris. Amen.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.