George Huruma Mkuchika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mheshimiwa Mstaafu Kapteni George Mkuchika Mb


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi
wa Umma na Utawala Bora
Muda wa Utawala
7 Octoba 2017 – sasa
Rais Mhe. Dkt. John Magufuli
mtangulizi George Simbachawene

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Muda wa Utawala
28 Novemba 2010 – 7 Mei 2012
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
aliyemfuata Hawa Ghasia

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo
Muda wa Utawala
13 Februari 2008 – 28 Novemba 2010
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Mbunge wa Newala
Aliingia ofisini 
Decemba 2005

Mkuu wa Mkoa wa Tanga
Muda wa Utawala
1997 – 2005
Rais Late Benjamin William Mkapa

tarehe ya kuzaliwa 6 Oktoba 1948 (1948-10-06) (umri 75)
Tanganyika
utaifa Tanzanian
chama CCM
mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

George Huruma Mkuchika (amezaliwa tar. 6 Oktoba 1948) ni mbunge wa jimbo la Newala katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Aliingia bungeni mwaka 2010 akarudishwa mwaka 2015.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu George Huruma Mkuchika (19 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017