George Boniface Simbachawene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

George Boniface Simbachawene (amezaliwa tar. 5 Julai 1968) ni mbunge wa jimbo la Kibakwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia [hariri]

Marejeo [hariri]

  1. Mengi kuhusu George Boniface Simbachawene (13 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.