Georg Friederich Händel
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George Frideric Handel (23 Februari 1685 – 14 Aprili 1759) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Ujerumani. Alizaliwa Ujerumani, lakini alitumia maisha yake ya ukubwani akiwa nchini Uingereza.
Viungo vya nje [hariri]
- Edward Dent's Handel biography from Project Gutenberg
- The second volume of Winton Dean for "Handel's Operas" covering the years 1726-1741
- Friedrich Chrysander's Handel biography (in German)
- Handel Houses:
- Shughuli au kuhusu Georg Friederich Händel katika maktaba ya WorldCat catalog
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Georg Friederich Händel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |