Göttingen
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Göttingen ni mji mmojawapo wa Ujerumani. Uko upande wa Kusini-Mashariki wa jimbo la Usaksoni Chini (kwa Kijerumani: Niedersachsen), na tangu mwaka wa 1965 umehesabika kama mji mkubwa (au jiji) kwa vile umevuka idadi ya wakazi zaidi ya laki moja. Göttingen inajulikana hasa kwa chuo kikuu chake ambacho kimezinduliwa rasmi mwaka wa 1737.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Göttingen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
bg:Гьотинген ca:Göttingen cs:Göttingen da:Göttingen de:Göttingen en:Göttingen eo:Göttingen es:Gotinga et:Göttingen eu:Göttingen fa:گوتینگن fi:Göttingen fr:Göttingen he:גטינגן hr:Göttingen hu:Göttingen id:Göttingen io:Göttingen it:Gottinga ja:ゲッティンゲン ka:გეტინგენი kk:Гёттинген ko:괴팅겐 la:Goettinga lb:Göttingen lt:Gėtingenas mr:ग्यॉटिंगन nds:Chöttingen nl:Göttingen (stad) nn:Göttingen no:Göttingen oc:Göttingen pl:Getynga pt:Göttingen ro:Göttingen ru:Гёттинген simple:Göttingen sl:Göttingen sr:Гетинген sv:Göttingen tr:Göttingen vi:Göttingen vo:Göttingen zh:哥廷根 zh-min-nan:Göttingen