Gävle
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gävle ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1446. Kuna wakazi 68,700 (mwaka 2005). Kraft General Foods Scandinavia ni kampuni kubwa ya utengenezaji wa kahawa
Jiografia [hariri]
Eneo lake ni 41.79 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gävle kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |