Flensburg
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Flensburg | |||
| Bandari ya mji wa Flensburg | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Flensburg katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 54°47′N 9°26′E / 54.783°N 9.433°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Schleswig-Holstein | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 88,718 | ||
| Tovuti: www.flensburg.de | |||
Flensburg ni mji wa Schleswig-Holstein nchini Ujerumani. Mji uko kando la ghuba ya Flensburg karibu na pwani la Baltiki. Idadi ya wakazi wake ni takriban 88,718.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Flensburg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
