Fernando Sucre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhusika wa Prison Break

Sucre
Fernando Sucre
Mwonekano wa kwanza: Pilot
Msimu: 1,2,3,4
Imechezwa na: Amaury Nolasco
Pia anajulikana kama: Jorge Rivera
Kazi yake: Mfanyakazi wa zamani wa Godauni
Mchimba Kaburi wa Sona (msimu wa 3)
Familia: Hector Avila (Binamu yake),
Manche Sanchez (Binamu yake),
Lila Maria Sucre (Binti yake)
Mahusiano: Maricruz Delgado (Mchumba wake)

Fernando Sucre ni jina kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Amaury Nolasco. Uhusika huu ulitambulishwa katika sehemu ya pilot ya mfululizo akiwa kama mfungwa mwezi wa mataalamu Michael Scofield (uhusika umechezwa na Wentworth Miller).

Akiwa na asili ya Kipuerto Rico, Sucre alikulia mjini Chicago, ambamo alikuwa mogogoro mwingi wa kisheria. Mama yake Bi. Maria alimpeleka kwenda kuishi na ndugu zake huko mjini New York City ili kuweza kupata msaada kadha wa kadha. Akiwa huko, alipata kazi godauni na akafanikiwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Bi. Maricruz Delgado.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]