Ferdinand-Edouard Buisson
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ferdinand Édouard Buisson (20 Desemba, 1841 – 16 Februari, 1932) alikuwa mtaalamu, mwanasiasa na mchungaji wa Kiprotestanti kutoka nchi ya Ufaransa. Nchini kwake, alijitahidi hasa kwa ajili ya elimu ya msingi. Mwaka wa 1927, pamoja na Ludwig Quidde alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ferdinand-Edouard Buisson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |