Felix wa Cantalice
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Felix wa Cantalice ndilo jina la kitawa la Felice Porri (Cantalice, Rieti, Italia, 1515 hivi - Roma 18 Mei 1587) alikuwa bruda wa urekebisho wa Ndugu Wadogo Wakapuchini, ambaye alipata kuwa mtawa wa kwanza wa shirika hilo kutangazwa mtakatifu.
Alitangazwa mwenye heri tarehe 1 Oktoba 1625 na mtakatifu tarehe 22 Mei 1712.
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Felix of Cantalice in Catholic Encyclopedia
- Felix of Cantalice in Catholic Forum
- San Felice da Cantalice(Kiitalia)
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Felix wa Cantalice kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |