Felix Christopher Mrema
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Felix Christopher Mrema (amezaliwa tar. 3 Agosti 1946) ni mbunge wa jimbo la Arusha katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Felix Christopher Mrema (4 Oktoba 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |