Faustina Kowalska

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Helena Kowalska ujanani.
Sista Maria Faustina wa Sakramenti Kuu mwaka 1938, kidogo kabla ya kufa.

Maria Faustina Kowalska, anayefahamika kama Mtakatifu Faustina, kabla hajaingia utawani aliitwa kwanza Helena Kowalska. Alizaliwa tarehe 25 Agosti 1905 huko Głogowiec, Łęczyca County, Poland (wakati ule ndani ya Dola la Urusi) akafariki tarehe 5 Oktoba 1938 huko Kraków, Poland.[1]

Ni maarufu hasa kwa njozi ambazo alijaliwa hata akaeneza ibada kwa Huruma ya Mungu.

Kanisa Katoliki linamheshimu kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II tarehe 30 Aprili 2000.

[hariri] Tanbihi

  1. Alan Butler and Paul Burns, 2005, Butler's Lives of the Saints, Burns and Oats ISBN 0860123839 page 251

[hariri] Viungo vya nje

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Faustina Kowalska kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine