Fatuma Mussa Maghimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fatuma Mussa Maghimbi ni mbunge wa jimbo la ChakeChake katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Fatuma Mussa Maghimbi (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]