FIJI
|
|
Unganisha! Imependekzwa makala hii iunganishwe na Fiji. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. |
'Fiji' ni visiwa zaidi ya 322 katika katika bahari ya pasifiki, vyenye ukubwa wa zaidi ya kilometa 18.270 yaani eneo la nchi kavu, katika katika visiwa hivi ambapo vinakadiriwa kuwa na zaidi ya wakazi zaidi ya laki nane, ambapo visiwa vya fiji vipo mashariki mwa Vanuturu magharibi mwa Tonga kusini mwa Tuvalu
Yaliyomo |
Mhali ilipo [hariri]
Fiji ina ukubwa wa kilimita za mraba 194,000, ambapo ni asilimia kumi tu ya eneo lote hilo ni ardhi na lingine likiwa ni maji ambayo ni ya bahari ya pasifiki Fiji ni eneo linalopatiana kusini magharibi mwa bahari ya pasifiki kati ya visiwa vya Vanatu na Tonga, inapatikana katika latitudo 176’ 53” kusini na 178’12” magharibi, Lakini pia mstari wa kimataifa wa tarehe unaipa Fiji masaa sawa katika visiwa vyake vyote Pia Fiji inajumuisha visiwa vikubwa 322, ambavyo 106 kati ya hivyo vimeamiwa na wakazi ambao sio wazaliwa wa eneo hilo, na pia kuna visiwa vingine vidogo vidogo zaidi ya mia tano ambavyo pia hujuishwa katika eneo la Fiji, Lakini kati ya visiwa hivyo ni visiwa viwili ambavyo ndivyo vimeonkana kuchukua idadi kubwa ya watu ambavyo ni Viti Levu na Vanua levu.ambapo ni katika visiwa hivi hadi robo tatu ya wakazi wot wa fiji hupatikana na ndipo mji mkuun wa fiji uva upo. Maeneo mengine katika Fiji ni Nandi ambapo ndio kuna uwanja wa ndege wa kimataifa na Lautoka ambako kuna viwanda na shughuli nyingi za uzalishaji hufanyaika hap. Visiwa hivi vimesheheni milima, kiasi cha kufikia urefu wa hadi mita 1300 kwa urefu, milima ambayo imetandwa na misitu
Historia [hariri]
Fiji ilijipatia uhru wake kutoka katika utawala wa kikoloni wa Uingeza tarehe 10/10/1970 Mji mkuu wa Fiji hujulikana kama Suva, ambapo Fiji hutawaliwa na Raisi akifutiwa na waziri mkuu, na baada ya hapo hufuatia Mwenyekitit wa Halmashauri ya Machifu ambapo kwa ujumla Visiwa vya Fiji viko chini ya jamhuri ya kamati ya kijeshi ambapo tangu mwaka 2006, fiji imekuwa chini ya utawala wa jeshi la [Commodore Frank Bainimarama] Katika visiwa vya Fiji, visiwa vikuu ni Viti Levu na Vanua Levu ambapo ni katika visiwa hivi, ndipo asilimia 87 ya wakazi wote wa fiji hupatikana Wakazi katika visiwa vya fiji huzungumza lugha za kiingereza na lugha ya Hindustani, lugha ambayo hufanana na lugha ya kihindi na Kiurdu. Katika histori ya Fiji, inaonesha kuwa shughuli za ufinyanzi zimekuwepo katika visiwa hivyo kwa muda mrefu hali inayoashiria kuwepo na ushahidi kuwa Fiji imekuwa ikikaliwa na watu tangu miaka 3500 hadi 1000 kabla ya kristu. Japokuwa jamii ya kabila la Lapita ndio wanaoaminika kuwa wa kwanza kuishi katika visiwa vya Fiji, lakini hali hii inatiliwa mashaka kutokana na jamii ya kabila la Melanesians kuwepo kwa wingi sana katika visiwa hivyo hali inayoashiria kuwa pengine kabila hilo pia limekuwepo kaitka visiwa hivyo tangu kale,
Shughuliza za Kiuchumi [hariri]
Wakazi wa visiwa vya Fiji, wanaamika kuwa walitokana na Wavivu wa masafa ,marefu ambao walifika katika visiwa hivyo zaidi ya miaka 3500 iliyopita, Shughuli za ufinyanzi katika jamii ya watu wa kabila la Lapita zimeonekana kutawala maeneo mengi sana katika visiwa vya Fiji, Utamaduni katika visiwa vya fiji umekuwa ukifanana sana na ule wa jamii nya Melesian ambao hupatikana katika magharibi mwa bahari ya Pasifiki, lakini utamaduni huu umekuwa ukifananishwa sana na ule wa jamii za Samoa na Toga Shughuli za biashara katika mataifa haya matatu yalianza muda mrefu kabla ya kuja kwa watawala wa [Ulaya] ambao kwa kiasi kikubwa wanaaminika kufika katika visiwa hivyo kwa usafiri wa boti ndogo ndogo maarufu kama Kanuu ambazo zinaaminika kuwa zilitengenezwa na wakazi wa visiwa hapo.
Zana mbalimbali za kufinyangwa zimekuwa zikipatika katika visiwa vya Samoa na hata katika visiwa vya Marquesas zaidi ya kilometer elfu moja, kutoka katika makao makuu ya Fiji. Fiji inajulikana kama visiwa vya lugha nyingi, kwani lugha tofauti tofauti zimekuwa zikipatikana katika visiwa hivyo, hali kadhalika historia ya visiwa hivyo inaonesha kuwepo kwa makabila ambayo yamekuwa yakihamahama kutoka kisiwa kimoja kwenda kingine, kwa muda wa karne moja hivi iliyopita, katika visiwa vya Fiji kumekuwa kukiibuka tamaduni Tofauti tofauti hali iliyooashiria ubaguzi wa kikabila kuwepo, Lakini imekuwa tofauti hii leo,ambapo, wakazi wa Fiji wamekuwa wakiishi kwa amani na wamekuwa wakikielezea kipindi hicho kama kipindi cha “na gauna ni tevoro” yaani time of the devil. Mpelelezi wa Kiholanzi aliyejulikana kama Abel Tasman, aliitembelea Fiji katika miak ya 1964, akiwa anatafuta bara la afrika kusini lililojulikana kama “the great Southern continent” Baada ya uhuru wa Fiji, 1970 kutoka kwa waingereza, ilifuatiwa na mapinduzi ya kijeshi yaliyotokea mwaka 1987, hali iliyosababishwa na wakazi wa Fiji kulaumu serikali yao kutawaliwa na watu wa kabila la Indofijian au wahindi, Mwaka 1990, katiba mpya katika utawala wa Fiji iliundwa ambapo, ilichukua nafasi ya ile ya awali ambayo ilikua ikiegamia upande wa makabila kwa kiasi kikubwa.
Siasa ya Fiji [hariri]
Siasa ya Fiji ihufanyika kwa mtindo wa kuchagua wawakilishi bungeni ambapo waziri mkuu ndiye mkuu wa serikali husika na raisi ndiye mkuu wa visiwa vyote vya Fiji. Halikadhalika uchaguzi katika Fiji huhusisha vyama vingi ambapo serikali ya Fiji hutawala maamuzi yate ya Nchini humo lakini chini ya Demokrasia na utawala wa sheria Tangu uhuru katika visiwa vya Fiji kumekuwepo na mapinduzi ya kijeshi mara nne, ambapo, mwaka 1987, kumekuwepo na mapinduzi ya kijeshi mara mbili, mara moja mwaka 2000, na mara moja mwaka 2006, lakini kwa ujumla, jeshi nchini Humo limekuwa likishikilia madaraka ya moja kwa moja au kupitia kwa serikali iliyopo madarakani tangu mwaka 1987 Lakini hivi karibuni, ikiwa ni tarehe 10/4/2009, Raisi Iloilo, aliifuta katiba ya nchi hiyo na kufutilia mbali mamlaka ya mahakama ambapo pia alijitangaza mwenyewe kuwa raisi wa visiwa hivyo, lakini baadae alianzisha tena utawala wa kikatiba hali iliyopelekea yeye mwenyewe kutolewa madarakani kutokana na kubainika kuwa alikuwa madarakani kinyume cha katiba Tarehe 13/7/2009. Fiji ilitolewa katika mkutano wa visiwa vinavopatikana katika bahari ya pasifiki kutokana na kushindwa kwake kuendesha chaguzi kwa njia ya kidemokrasia hadi kufikia wakati.
Wakazi wa Fiji [hariri]
Idadi kubwa ya wakazi wa Fiji inajumuisha wazaliwa halisi wa fiji ambapo watu wa kabila la Melanesia huchukua asilimia 54.3 ya wakazi wate wa Fiji, wakati wale wanaojulikana kama Indo-Fijiana huweza kufikia asilimia 38.1, na wengine ni wahamiaji mkutoka katika mataifa ya Ulaya waliohamia nchini humo kwa wingi hususani katika karne ya kumi na tisa. Lakini kwa ujumla kiasi cha watu wa Kihindi kimekuwa kikipungua siku hadi hadi siku kutokana na wengi kuhama katika visiwa hivyo kwa sabababu tofaiuti tofauti, lakini vilevile kumekuwa na kiasi kidogo cha watu kutoka katika visiwa vya Solomoni ambao wengi wao walikuja visiwani hapo kama wafanyakazi.
Imani za kidini [hariri]
Dini ni moja ya mambo ambayo hutofutisha na jamii mbalimbali katika visiwa vya Fiji hususani baina ya makabila ya Wafiji wenyewe na wahindi waishio Fiji, ambapo asilimia kubwa ni wakristu ambao kwa kiasi huchukua asilimia 97.2, wahindu ambao huchukua zaidi ya asilimia 70, na halikadhalika waislamu ambao wao ni asilimia 17.9 ya wakazi wote wa visiwa hivyo, Lakini pamoja na kuwa dini kuu hizo mbili halikadhalika kuna dini nyingine ndogo ndogo kama vile wasabato, assemly of God, na vingine vidogo vidogo zaidi. Kwa ujumla dini katika visiwa vya Fiji imetawaliwa na wakristu mabao ndio wamechukua asilimia kubwa ya idadi ya watu, japokuwa wakristu hawa wanajumuisha ,adhehebu tofauti tofauti kama vile wasabato, waanglikana nk.
Wakazi katika visiwa vya Fiji hujishughulisha na shughuli mbali mbali kama vile uchimbaji wa madini, uvuvi, uvunaji wa mafuta, na biashara Utamaduni katika visiwa hivi hujumuisha tamaduni kutoka makabila tofauti tofauti yakiwemo wafiji wenyewe, wahindi, wachina na wazungu ambao kwa ujumla hua na tamaduni tofati tofauti, Chakula wanachokula wakazi wa visiwa hivi hujumuisha chakula kitokanacho na mazao ya bahari maarufu kama sea foods, vile vile kuna shughuli i tofauti tafauti, za kitamaduni kama sanaa, uchongaji, miziki na michezo mbalimbali Ambapo kwa hakika utamaduni wa asili unapewa kipaumbele kama sehemu ya maisha ya kila siku kati wa wakazi wengi, lakini hivi karibuni kumekuwako na mwingiliano wa tamaduni kutokaka nchi mbalimbali. Kwa Upande wa sikuu fiji nao husherehekea siku kuu mbalimbali kama vile mwaka mpya, maulid, ijumaa kuu, pasaka Siku ya Fiji, krismas nk
Katika visiwa hivi mchezo mkuu ni Rugby ambapo wachezaji kutoka Fijin wameshiriki mashindano mbalimbali ya mchezo huu kimataifa. Kwa ujumla visiwa vya Fiji vimekuwa ni vivutio kwa watu kutoka maeneo mbalimbali dunia kwenda kwa ajili ya mengi lakini zaidi mapumziko, hii ni kutokana na hli tulivu iliyopo visiwani hapo, maji maangavu na pia ukarimu wa wakazi wa Fiji.
Viungo vya nje [hariri]
[wikipediajavascript]:goToDonationPage()