Eric Balfour

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Eric Balfour
Eric Balfour in 2010 cropped.jpg
Eric Balfour, 2010
Amezaliwa Eric Salter Balfour
24 Aprili 1977 (1977-04-24) (umri 35)
Los Angeles, California, Marekani
Kazi yake Mwigizaji, mwimbaji

Eric Salter Balfour (amezaliwa tar. 24 Aprili, 1977) ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Huyu ndiye mwimbaji kiongozi wa bendi ya Born As Ghosts, zamani ilikuwa inajulikana kwa jina la Fredalba. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Milo Pressman kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.

[hariri] Viungoi vya Nje

Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Balfour kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine