Eneo la uchaguzi la Bonchari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bonchari ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo ya majimbo manne katika Wilaya ya Kisii. Jimbo hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Yaliyomo |
Wajumbe wa Bunge [hariri]
| Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Mfumo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Protas Kebati Momanyi | KANU | Mfumo wa chama kimoja. |
| 1992 | Protas Kebati Momanyi | KANU | |
| 1997 | Opore John Zebedeo | KANU | |
| 2002 | Opore John Zebedeo | Ford-People | |
| 2007 | Onyancha Charles | ODM |
Kata [hariri]
| Kata | ||
| Kata | Wapiga kura waliosajiliwa | Manispaa |
|---|---|---|
| Nyamokenye | 5.345 | Kisii manisipaa |
| Bogiakumu | 4.458 | Suneka mji |
| Bokeira | 1.993 | Suneka mji |
| Insaria | 4.381 | Suneka mji |
| Nyang'iti | 3.091 | Suneka mji |
| Bomariba | 6.126 | Gusii |
| Bomokora | 3.607 | Gusii |
| Riana | 5.325 | Gusii |
| Jumla | 34.326 | |
| *Septemba 2005 [2]. | ||
Marejeo [hariri]
- ↑ [0] ^Muungano wa Kidemokrasia 'Center for Multiparty Democracy': Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency