Eneo Bunge la Maragua
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo Bunge la Maragua ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matatu katika Wilaya ya Maragua, Mkoa wa Kati. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge [hariri]
| Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1997 | Peter Kamande Mwangi | Democratic Party (DP) | |
| 2002 | Elias Mbau | NARC | |
| 2007 | Elias Mbau | PNU |
Wadi [hariri]
| ' | ||
| Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | Mamlaka ya Mtaa |
|---|---|---|
| Gakoigo | 4,479 | Mji wa Maragua |
| Ichagaki | 4,480 | Mji wa Maragua |
| Mbugua | 2,106 | Mji wa Maragua |
| Samar | 1,626 | Mji wa Maragua |
| Kambiti | 4,632 | Mji wa Makuyu |
| Kirimiri | 4,167 | Mji wa Makuyu |
| Makuyu | 9,497 | Mji wa Makuyu |
| Wempa | 3,408 | Mji wa Makuyu |
| Kamahuha / Maranjau | 10,113 | Baraza la Mji wa Maragua |
| Maragua Ridge | 2,516 | Baraza la Mji wa Maragua |
| Nginda | 7,871 | Baraza la Mji wa Maragua |
| Jumla | 54,895 | |
| *Septemba 2005| [2],[3] | ||
Marejeo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Civic Elections Results (2002)