Eneo Bunge la Gichugu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo Bunge la Gichugu ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge manne katika Wilaya ya Kirinyaga, Mkoa wa Kati. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988. Baina ya uchaguzi wa miaka za 1966 ahadi 1983 ,lilijulikana kama Eneo Bunge la Kirinyaga East .
Yaliyomo |
Wabunge[hariri]
| Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1963 | Kimamu Njiru Gichoya | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
| 1966 | Bernard Kathanga | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
| 1969 | Kimamu Njiru Gichoya | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
| 1974 | Nahashon Njunu Njuno | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
| 1979 | Nahashon Njunu Njuno | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
| 1983 | Nahashon Njunu Njuno | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
| 1988 | Godfrey Karekia Kareithi | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
| 1992 | Martha Karua | Democratic Party (DP) | |
| 1997 | Martha Karua | Democratic Party (DP) | |
| 2002 | Martha Karua | NARC | |
| 2007 | Martha Karua | PNU |
Taarafa na Wadi[hariri]
| Taarafa | |
| Taarafa | Idadi ya watu[2] |
|---|---|
| Baragwi | 21,711 |
| Kabare | 16,392 |
| Karumandi | 26,898 |
| Kirima | 23,696 |
| Ngariama | 20,253 |
| Njukini | 26,266 |
| Jumla | x |
| Wadi | ||
| Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | Mamlaka ya Mtaa |
|---|---|---|
| Baragwi | 9,697 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
| Kabare | 6,867 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
| Karumandi | 13,248 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
| Kirima | 11,658 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
| Kutus Central | 1,795 | Manispaa ya Kerugoya/Kutus |
| Ngariama | 10,251 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
| Njuki-ini | 10,747 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
| Jumla | 64,263 | |
| *Septemba 2005 | [3],[4] | ||
Marejeo[hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Civic Elections Results (2002)
Viungo vya nje[hariri]
Kigezo:Wilaya ya Kirinyaga Kigezo:Maeneo Bunge katika Mkoa wa Kati (Kenya)