Emmanuel Mapunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Emmanuel Mapunda (amezaliwa 10 Desemba 1935) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1987. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Mbinga hadi mwaka 2011 alipostaafu.

Viungo vya nje [hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Mapunda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.