EmiratesNBD
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| EmiratesNBD | |
| Mwenyekiti | HE Ahmed Humaid Al Tayer |
| Mkurugenzi Mtendaji wa kundi | Rick Pudner |
| Kikao chake | Dubai, |
| Tovuti | http://www.emiratesnbd.com |
EmiratesNBD , kundi kubwa zaidi la benki katika Mashariki ya Kati katika suala la mali, iliundwa tarehe 16 Oktoba 2007 wakati hisa za Emirates NBD ziliorodheshwa rasmi katika soko la hisa la Dubai. Muungano huu ulileta pamoja mabenki ya UAE ya pili na ya nne kubwa zaidi (Benki ya Emirates na Benki ya Taifa ya Dubai) kwa mali na umeunda bingwa wa benki iliyo na mali nyingi zaidi katika Mashariki ya Kati, jumla yake zaidi ya bilioni 282 AED kama mwishoni wa mwaka 2008. Kundi hili lina shughuli katika UAE, Ufalme wa Saudi Arabia, Qatar, Uingereza na Jersey (Channel Islands), na ofisi za wakilishi nchini India, Iran na Singapore [1]
Yaliyomo |
Maono [hariri]
kutambuliwa kimataifa kama kiongozi na mtoa-huduma za kifedha mbadilifu zaidi katika Mashariki ya Kati.
Makampuni ya Kikundi cha EmiratesNBD [hariri]
- Benki ya Kimataifa ya Emirates
- Benki ya Taifa ya Dubai
- Huduma za Uwekezaji za Emirates
- Huduma za Kimataifa za Emirates
- Huduma za Kibiashara na Kifedha za Emirates
- Al-Tomooh
- Diners Club UAE
Makampuni Tanzu [hariri]
- Benki ya Kiislamu ya Emirates
- Emirates Islamic Financial Brokerage
- Emirates Money
- Network International
- EmiratesNBD Capital Limited
- NBD Securities LLC
- Al-Watani Al Islami
- Benki ya Taifa ya Dubai Trust Company (Jersey) Limited
- Mali ya NBD
Makampuni Shirikishi [hariri]
- National General Insurance
- NBD Sana Capital Limited
- Union Properties
Marejeo [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala bank and insurance-related bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |