Elizabeti wa Ureno
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muujiza wa mawaridi ulivyochorwa na Valerio Castello, 1650 hivi.
Mchoro wa Petrus Christus, 1460 hivi, ukimuonyesha Isabela wa Aragona na jamaa yake mtakatifu Elizabeti wa Hungaria.
Elizabeti wa Ureno anayejulikana pia kama Isabela Perez au Isabela wa Aragona (Saragoza, Hispania, 4 Januari 1271 - Estremoz, Ureno, 4 Julai 1336) alikuwa malkia wa nchi (1282-1325) hiyo kabla hajaanzisha jumuia ya kitawa ya Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko karibu na monasteri ya Waklara.
Alitangazwa na Papa Urban VIII kuwa mtakatifu tarehe 25 Mei 1625.
[hariri] Marejeo
- Ferreira, João (2010), Histórias Rocambolescas da História de Portugal (6 ed.), Lisbon, Portugal: A Esfera dos Livros, ISBN 978-989-626-216-7
- Hoever, Hugo, ed. (1955), Lives of the Saints, For Every Day of the Year, New York, New York: Catholic Book Publishing Co., pp. 511
[hariri] Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
This article incorporates text from a publication now in the public domain: Herbermann, Charles, ed (1913). "St. Elizabeth of Portugal". Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.- "Saint Elizabeth, Queen of Portugal", Butler's Lives of the Saints
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elizabeti wa Ureno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |