Eleuteri
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eleuteri ni jina la kiume. Pengine linaandikwa kifupi kwa kuacha herufi ya kwanza: Leuteri, au kwa kufuata matamshi ya Kiingereza: Eliuta. Mwanamke anaweza kuitwa: Eleuteria.
[hariri] Asili
Linatokana na jina la lugha ya Kigiriki Eleutherios, linalofuata kivumishi eleutheros: huru. Kwa Kilatini ni Eleutherius.
Kati ya watu walioitwa hivi, maarufu zaidi ni Papa Eleuteri, anayeheshimiwa kama mtakatifu hasa tarehe 26 Mei.