Edmond Debeaumarché

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi la Edmond Debeaumarché

Edmond Debeaumarché (Dijon, 15 Desemba 1906 - Suresnes, 28 Machi 1959) alikuwa Mfaransa mzalendo, shujaa wa kupinga uvamizi wa nchi yake wakati wa Vita Kuu ya Pili.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edmond Debeaumarché kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.