Eddie Anaclet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Eddie Anaclet (amezaliwa 31 Agosti 1985) ni mchezaji wa mpira kutoka nchi ya Tanzania aliyehamia Uingereza. Tangu mwaka wa 2006 anacheza katika timu ya Oxford United.

Viungo vya nje [hariri]

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eddie Anaclet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.