Donald A. Glaser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Donald A. Glaser

Donald Arthur Glaser (amezaliwa 21 Septemba 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1960 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donald A. Glaser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.