Ufalme wa Kasanje
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Dola la Kasanje)
Dola la Kasanje lilikuwa ufalme wa Kibantu kati ya 1620 na 1910 kandoni kwa mto Kwango, upande wa Kaskazini wa nchi ya kisasa ya Angola. Lilianzishwa na viongozi kutoka Dola la Lunda. Mwaka wa 1910 lilivamiwa na Wareno na kuingizwa katika koloni yao ya Angola.
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ufalme wa Kasanje kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |