Disprosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Disprosi (dysprosium)
Dy-TableImage.png
Jina la Elementi Disprosi (dysprosium)
Alama Dy
Namba atomia 66
Uzani atomia 162,50
Kiwango cha kuyeyuka 1680 K (1407 °C)
Kiwango cha kuchemka 2840 K (2567 °C)
Asilimia za ganda la dunia 4 · 10-4 %


Disprosi (Kigiriki dysprósitos „isiyopatikana“) ni elementi na metali nzito na laini yenye namba atomia 66 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 162.50. Alama yake ni Dy.

[hariri] Tabia

Disprosi huhesabiwa kati ya Lanthanidi inaonekana kama metali nzitonzito yenye rangi ya kifedha. Haina matumizi mingi kwa jumla ni kama tani 100 kwa mwaka pekee inakorogwa hasa ndani ya aloi mbalimbali.


[hariri] Historia

Disprosi ilitambuliwa mara ya kwanza mjini Paris mnamo mwaka 1886 na mwanakemia Mfaransa Paul Émile Lecoq de Boisbaudran.

[hariri] Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:




WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Disprosi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Disprosi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.