Dini nchini Benin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Dini nchini Benin zinaishi pamoja kwa amani.

Kulingana na sensa ya mwaka 2002, asilimia 27.1 ya wakazi wa Benin walikuwa Wakatoliki, asilimia 24.4 Waislamu, asilimia 17.3 wafuasi wa dini ya jadi ya Vudu, asilimia 5 Wakristo wa Kanisa la Mbinguni, asilimia 3.2 Wamethodisti, asilimia 7.5 Wakristo wa madhehebu mbalimbali, asilimia 6 ni makundi mengine ya dini za jadi za Kiafrika, asilimia 1.9 ni makundi mengine ya dini, na asilimia 6.5 wanadai hawana uhusiano na dini yoyote ile.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. International Religious Freedom Report 2007: Benin. United States Bureau of Democracy, Human Rights and Labor (September 14, 2007). This article incorporates text from this source, which is in the public domain.