Dilijan
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dilijan (Kiarmenia: Դիլիջան;[1]) ni mji uliopo mjini kaskazini mwa mkoa wa Tavush huko nchini Armenia. Ni moja kati ya mji muhimu wenye vivutio vingi sana nchini Armenia, upo kwenye Hifadhi ya Taifa ya Dilijan. Idadi ya wakazi wanaokalia hapa ni 13,752.
[hariri] Marejeo
- Dilijan kwenye GEOnet Names Server
- World Gazeteer: Armenia – World-Gazetteer.com
- Taarifa ya matokeo ya sensa ya wakazi kwa 2001 nchini Armenia
[hariri] Viungo vya Nje
- http://www.hotels.am/Tavush/tavush_hotels.php
- DILI VILLA B&B in Dilijan
- Armeniapedia article on Dilijan
- Dilijan guide on Haykland
| Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dilijan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |