Diana (mkoa)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Diana |
|
| Mahali pa Mkoa wa Diana katika Madagaska | |
| Anwani ya kijiografia: 12°28′S 49°28′E / 12.467°S 49.467°E | |
| Nchi | Madagaska |
|---|---|
| Wilaya | 5 |
| Mji mkuu | Antsiranana |
| Eneo | |
| - Mkoa | 19,266 km² |
| Idadi ya wakazi (2004) | |
| - Mji | 485.800 |
Diana ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 485,800. Mji mkuu ni Antsiranana.
Picha za Diana [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Diana (mkoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy | |