Das EFX
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Das EFX | |
|---|---|
| Asili yake | Brooklyn, New York, Teaneck, New Jersey na Petersburg, Virginia, Marekani |
| Aina ya muziki | Hip hop |
| Miaka ya kazi | 1988— |
| Studio | East West Records America/Atlantic Records |
| Ameshirikiana na | EPMD Hit Squad |
| Tovuti | http://www.myspace.com/dasefxclassic |
| Wanachama wa sasa | |
| Skoob Krazy Drayzy |
|
Das EFX lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lenye athira kubwa ya East Coast hip hop. Kundi linaunganishwa na watu wawili, ambao ni Skoob (William "Willie" Hines) na Krazy Drayzy (Andre Weston). Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1988.
[hariri] Viungo vya Nje
- Das EFX katika MySpace
- Interview with Das EFX from 2003
- Interview with Das EFX from 2007
- Das EFX fan forum
- Krazy Drayzy 2009 Interview (ArtofRhyme.com)
- Das EFX international fun club
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Das EFX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |