Daniel Rudisha
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
Wasifu huu wa Mtu aliye hai hautaji virejeleo vyovyote. Tafadhali saidia kwa kuweka virejeleo vya kutegemewa. Makala ambazo hazijawekewa virejeleo vya kutegemewa kuunga mkono habari ya makala ni llazima vitolewe haraka. (Desemba 2008) |
| Olympic medal record | ||
| Riadha ya Wanaume | ||
|---|---|---|
| Fedha | Olimpiki ya 1998, Mexico | Shindano la 4x400 kupokezana vijiti |
Daniel Rudisha alikuwa mwanariadha wa Kenya aliyekuwa akishiriki katika mbio za mita 400. Aliiwakilisha Kenya katika mashindano ya olimpiki ya 1998 jijini Mexico katika shindano la 4 x 400 kupokezana vijiti ambapo alishinda medali ya Fedha akiwa na wanariadha wengine wa timu yake,Hezahiah Nyamau, Naftali Bon na Charles Asati.
Maisha ya Kibinafsi [hariri]
Rudisha anaishi Kilgoris nchini Kenya. Mwana wake wa Kiume David Rudisha, ni mwanariadha pia ambaye alishinda katika shindano la mita 800 wakati wa Mashindano ya Dunia ya Riadha ya Chipukizi ya 2006.
| Makala Kenyan biographical relating to athletics bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
| Makala hii inahusu wanariadha wa Olimpiki wa Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Jamii:
- Unreferenced BLPs from Desemba 2008
- Articles with invalid date parameter in template
- All unreferenced BLPs
- Kurasa zenye viungo vilivyovunjika
- Watu Wanaoishi
- Wanariadha wa Kenya
- Washindi wa Medali ya Shaba wa Kenya
- Washiriki wa Olimpiki wa Kenya
- Mwaka wa Kuzaliwa Umekosa
- Kenyan athletics biography stubs
- African Olympic medalist stubs