Daniel Faraday
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Daniel "Dan" Faraday | |
|---|---|
![]() |
|
| Mwonekano wa kwanza | "The Beginning of the End" |
| Centric episode(s) |
"Confirmed Dead" "The Variable" |
| Maelezo | |
| Jina | Daniel Faraday |
| Zamani makazi |
Essex, Massachusetts, USA Oxford, England |
| (Taaluma) ya zamani | Profesa fizikia |
| Imechezwa na | Jeremy Davies |
Dr. Daniel Faraday (mara nyingi huitwa Dan au kifupi huitwa jina la ukoo Faraday) ni jina la kutaja muhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Lost, ambacho hurushwa hewani na ABC. Uhusika umechezwa na Jeremy Davies. Faraday alianza kuonekana katika msimu wa nne wa mfululizo huu, na ni mmoja kati ya wanakikosi waliotua huko mjini Kahana.[1] Awali, Faraday alipangwa kwenye orodha ya wahusika watakaonekana mara kwa mara.[2]
[hariri] Marejeo
- ↑ Jensen, Jeff (February 21, 2008). 'Lost': Mind-Blowing Scoop From Its Producers. ew.com. Rudishwa juu ya 2008-02-21.
- ↑ ABC Medianet, (January 18, 2008) "Four Strangers Arrive on the Island, Leading the Survivors to Question the Intentions of Their Supposed Rescuers". Retrieved on February 17, 2008.
|
|||||||||||||||||
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Daniel Faraday kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
