Daniel Agina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel Agina
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaKenya Hariri
Jina halisiDaniel Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
AlisomaJamhuri High School, Southern Nazarene University Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoTusker FC, Southern Nazarene Crimson Storm men's soccer Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri

Daniel Agina (alizaliwa katika mji mkuu wa Nairobi) ni mwanakanda wa Kenya anayecheza katika safu ya ulinzi.

Agina alisomea shule ya upili ya Jamhuri.

Ameichezea timu ya kandanda ya kitaifa ya Kenya na katika ligu kuu ya Kenya ameichezea klabu ya Tusker FC na kuwasaidia kushinda mataji mawili ya ligi na mawili katika michuano ya Afrika ya Mashariki na ya Kati.

Pia alikuwa mchezaji muhimu wakati Kenya ilishinda Kombe la Castle Lager katika mji mkuu wa Dar es Salaam na pia alikuwa kwenye timu ya Kenya ambayo ilichukua nafasi ya pili dhidi ya Uganda katika mji mkuu wa Nairobi.

Baadaye alihamia Marekani kwa udhamini wa soka ambapo aliisaidia Chuo Kikuu cha Southern Nazarene kushiriki katika mashindano 4 ya kitaifa mfululizo wakati wake huko. Alihitimu mwaka wa 2007. Yeye ndiye kiongozi wa wakati wote wa pasi zinazosababisha mabao katika historia ya shule.Alichaguliwa kwa ajili ya timu ya kandanda ya wanaume ya NAIA All-American mwaka wa 2006.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Agina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.