Damas Pascal Nakei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Damas Pascal Nakei (amezaliwa tar. 19 Februari 1959) ni mbunge wa jimbo la Babati Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia [hariri]

Marejeo [hariri]

  1. Mengi kuhusu Damas Pascal Nakei (17 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.