Dallas, Texas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Dallas, Texas






Jiji la Dallas

Bendera
Jiji la Dallas is located in Marekani
Jiji la Dallas
Jiji la Dallas

Mahali pa mji wa Dallas katika Marekani

Majiranukta: 32°47′58″N 96°47′14″W / 32.79944°N 96.78722°W / 32.79944; -96.78722
Nchi Marekani
Jimbo Texas
Wilaya Dallas
Collin
Denton
Rockwall
Kaufman
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,306,350
Tovuti:  www.dallascityhall.com
Dallas Cowboys

Dallas ni mji wa Marekani katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 6.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 131 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dallas, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.