DJ Premier
| DJ Premier | |
|---|---|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Christopher Edward Martin |
| Amezaliwa | 21 Machi 1966 Houston, Texas, Marekani |
| Asili yake | Houston, Texas, Marekani |
| Aina ya muziki | Hip hop |
| Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi, DJ |
| Ala | Drum machine Kinanda Sampler Turntable |
| Miaka ya kazi | 1987–mpaka sasa |
| Studio | Wild Pitch/EMI (1987–1990) Chrysalis/EMI (1991–1998) Virgin/EMI (1998–2003) Year Round (2003–) |
Christopher Edward Martin (amezaliwa tar. 21 Machi 1966[1]) ni mtayarishaji wa rekodi na DJ kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Premier, na mtengenezaji wa muziki wa kundi la watu wawili Gang Starr, akiwa pamoja na rapa/mwimbaji Guru.
Kiasili anatokea mjini Houston, lakini ameishi zaidi mjini Brooklyn, New York, kwa ajili ya shughuli zake za kitaalamu. Premier anatazamika kama ndiye mbunifu kwa staili ya "hardcore East Coast hip-hop inayojulikana sana kwa ngoma zake nzito na michano."[2]
Gazeti la The Source limempa jina DJ Premier kuwa kama mmoja kati ya watayarishaji watano wakubwa wa muziki wa hip hop katika historia, wakati wahariri wa About.com wamempa cheo cha #1 katika orodha ya watayarishaji Bora-50.[3]
Yaliyomo |
Matayarisho [hariri]
Sampuli [hariri]
Athira [hariri]
Mahusiano yake na wasanii [hariri]
Diskografia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ allmusic Biography
- ↑ Chris Ryan. The Beatnuts Biography. Rolling Stone.
- ↑ Henry Adaso; Ivan Rott, Renato P., Bhaskar S., Henry A.. Top 50 Hip-Hop Producers 8. About.com.
Viungo vya Nje [hariri]
- DJPREMIER.NET DJ Premier official website
- DJ Premier katika MySpace
- yearroundrecords.com Year Round Records Web Site
- DJ Premier Trackology A list of all the DJ Premier productions
- Video Interview with Primo
- [1] Thermal Soundwaves interview with DJ Premier
- DJ Premier Credit List (Discography) - beatbuggy.com
|
||||||||||||||
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu DJ Premier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |