DCC Mlimani Park Orchestra
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| DCC Mlimani Park Orchestra | |
|---|---|
| Asili yake | Tanzania |
| Aina ya muziki | Dans |
| Miaka ya kazi | 1978 - hadi leo |
| Wanachama wa sasa | |
| Hassan Bitchuka | |
| Wanachama wa zamani | |
| Muhiddin Maalim Ngurumo Abel Balthazar |
|
DCC Mlimani Park Orchestra (au Mlimani Park) ni bendi ya muziki wa dansi kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Bendi Ilianzishwa mnamo mwaka wa 1978. Mwanzilishi wa bendi hiyo ni Bw. Muhiddin Maalim Ngurumo, Hassan Bitchuka na Abel Balthazar. Mtindo maarufu wa bendi ya DDC ni sikinde ngoma ya ukae.
Wanachama kadhaa [hariri]
Albamu kadhaa [hariri]
| Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu DCC Mlimani Park Orchestra kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |