D. B. Woodside

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
D.B. Woodside
D.B. Woodside.jpg
Amezaliwa David Bryan Woodside
25 Julai 1969 (1969-07-25) (umri 42)
Jamaica, Queens, New York, Marekani

David Bryan "D.B." Woodside (amezaliwa tar. 25 Julai, 1969 mjini Jamaica, Queens, New York) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani.

Huenda akawa anafahamika kwa kuigiza kama Mkubwa wa Wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani (na baadaye Rais) Wayne Palmer katika mfululizo wa FOX - 24. Mengineyo, anafahamika kwa kushiriki kwake katika The Temptations na Buffy the Vampire Slayer.

[hariri] Viungo vya Nje

People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu D. B. Woodside kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine