Culiacán, Sinaloa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Mji wa Culiacán, Sinaloa


Jiji la Culiacán
Nchi Mexiko
Jimbo Sinaloa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 793,703
Tovuti:  www.culiacan.gob.mx

Culiacán ndiyo mji mkuu na pia mji mkubwa katika jimbo la Sinaloa. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 793,703 wanaoishi katika mji huu.

Eneo lake ni 4,758 km². Mji upo m 54 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulinazishwa na Nuño Beltrán de Guzmán mwaka 1531.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Culiacán, Sinaloa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.