Ciudad Victoria, Tamaulipas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Ciudad Victoria, Tamaulipas


Jiji la Ciudad Victoria
Nchi Mexiko
Jimbo Tamaulipas
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 278,455
Tovuti:  www.ciudadvictoria.gob.mx

Ciudad Victoria (Kiswahili Mji wa Victoria) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Tamaulipas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 530,000 wanaoishi mjini hapa. Mji una wakazi wapatao 278,455. Eneo lake ni 1,638 km².

Mji pia una Chuo Kikuu Huria cha Tamaulipas.

Mji ulianzishwa kunako mwaka wa 1750.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ciudad Victoria, Tamaulipas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.