Ciudad Acuña

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Ciudad Acuña


Jiji la Ciudad Acuña
Nchi Mexiko
Jimbo Coahuila
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 209,000
Tovuti:  / www.acuna.gob.mx

Ciudad Acuña (pia: Acuña) ndiyo mji mkuu wa pili katiko jimbo la Coahuila. Iko kusini kabisa ya mji wa Del Rio, (Texas). Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 209,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 280 kutoka juu ya usawa wa bahari. Ni mji unaokua kwa kasi zaidi katika Mexiko.

Mji ulianzishwa 1877 mwaka.


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ciudad Acuña kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.