Chuo kikuu cha Princeton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo kikuu cha Princeton
Chuo Kikuu cha Princeton

Wito: Dei sub numine viget

Kilianzishwa: 1746
Aina ya Chuo: binafsi
Mkuu wa Chuo Shirley Tilghman
Mji: Princeton, New Jersey
Nchi: Marekani
Idadi ya wanafunzi 5,998
Idadi ya walimu ---
Kampasi mjini Princeton
Anwani mtandaoni : http://www.princeton.edu

Chuo Kikuu cha Princeton huhesabiwa kati ya vyuo vikuu bora nchini Marekani. Kiko katika jimbo la New Jersey. Kilianzishwa mwaka 1746 kwa jina la "College of New Jersey".


[hariri] Viungo vya Nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: