Chumvi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sulfati ya kupri ni aina ya chumvi vilevile inayotekea kwa umbo la fuwele buluu ikijulikana kama minerali ya chalcanthite
Chumvi kwa maana ya kemia ni kampaundi inayofanywa na ioni yaani anioni yenye chaji hasi na kationi yenye chaji chanja.
Chumvi inayojulikana zaidi ni chumvi cha kawaida cha NaCl (kloridi ya natiri) inahitajika na mwili wa mwanadamu kwa hiyo inatumiwa kwa upishi.
Lakini kuna aina nyingi za chumvi kutokana na elementi mbalimbali na hzi kwa jumla haziwezi kuliwa.
| Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chumvi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |