Chui-theluji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chui-theluji
Chui-theluji Uncia uncia
Chui-theluji Uncia uncia
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Pantherinae (Wanyama wanaofanana na chui)
Jenasi: Panthera
Oken, 1816
Spishi: P. uncia
(Schreber, 1775)
Msambao wa chui-theluji: mkazi (machungwa) au labda (machungwa isiyoiva)
Msambao wa chui-theluji: mkazi (machungwa) au labda (machungwa isiyoiva)

Chui-theluji (Kisayansi: Panthera uncia au Uncia uncia zamani) ni mnyama mwenye manyoya marefu meupe afananaye na chui. Anaishi milimani mwa Asia ya Kati na aliye na madoa meusi.