Christiaan Eijkman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christiaan Eijkman (11 Agosti, 18585 Novemba, 1930) alikuwa daktari kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza ugonjwa wa beriberi na sababu zake. Mwaka wa 1929, pamoja na Frederick Hopkins alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Christiaan Eijkman" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Christiaan Eijkman kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi