Kishineu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chisinau)
Kishineu (tamka: ki-shi-ne-u; Kiromania Chişinău (matamshi kama mbele); kwa mwandiko wa kikirili Кишинэу, Kirusi Кишинёв "kishinyev") ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Moldova mwenye wakazi 600,000.
Yaliyomo |
Jiografia [hariri]
Mji uko kwa 47°0′N 28°55′E kando la mto Bich (Bîc) amabo ni tawimto wa Dnestr . Eneo la mji ni 120 km². Kishineu iko katikati ya nchi ya Moldova.
Kuna vyuo vingi pamoja na shule, makumbusho na nyumba za igizo. Mji una viwanda vingi.
Wakazi [hariri]
Kati ya wakazi kuna vikundi vifuatayo kufuatana na lugha:
- Kiromania - 68.4%
- Kirusi - 13.7%
- Kiukraine - 8.4%
- Kiromania - 4.4%
- Kibulgaria - 1.2%
Viungo vya Nje [hariri]
- Official site of Chişinău (in Romanian only)
- Old (1995) Chişinău Photo-Gallery - a lot of artistic photos
- Chişinău telephone directory (primarily in Russian, some minimal content in English, French, German)
- Chişinău - Portail Moldavie (in French)
- Chişinău - Magazine Moldavie (in French)
- Jewish community of Chişinău
- Kishinef(Kishinev), by Rosenthal, Herman & Rosenthal, Max, in the Jewish Encyclopedia (1901-1906)
- Pro TV
- 2005 Chişinău election for mayor
Picha za Kishineu [hariri]
Ramani [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kishineu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |